
Hamjambo? Ningependa kupendekeza mwalimu na rafiki wangu Oloo kwa mahitaji yote ya kujifunza Kiswahili. Nilikuwa na masomo naye kwa miaka mingi mpaka kuongea Kiswahili kwa fasaha. Oloo anafundisha vizuri kwa namna taratibu ambayo inajumuisha mada mbalimbali za kupendeza ndio usichoke. Ana subira pamoja na ustadi wa Kiswahili kwa hivyo utaendelea kwa haraka. Yeye ndiye sababu niliwahi kufanikiwa kwa upande wa Kiswahili na hivyo inavyowezakana kwako pia. Nakuhimiza kujifunza naye usiachwe nje ya uswahilini
Hello! I would like to recommend my friend and teacher Oloo for all your Swahili learning needs. For years I learned under Oloo until I reached a fluent level of Swahili. Oloo is a professional teacher who is knowledgable on many subjects to keep you engaged. He is patient and has significant expertise in Swahili so you will learn quickly. He is the reason why I was able to suceed in Swahili and he can be for you too. I encourage you to study with him so you dont get left behind the exciting world of Swahili.
0 responses on "Adam"